|
30 June 2009
TBI staff and community volunteers went to the local clinic yesterday to set up tents and clear up the compund in preparation for the dental team coming from Stony Brook University, in collaboration with the University of Nairobi. More word is spreading slowly about the camp as the community excitedly waits for treatment to begin.
Preparation
Assalam Aleikum! Basi kuna ubaju...jana nilipata suprise kubwa... Natoka kuenda kijiji mara Chachu aingia...kuliwa na vita kidogo huku karibu na Illeret.
Nikamualika aje kulala TBI atleast tupate mazungumzo kidogo. Mara nikifika town, naelezwa kwamba Councillor wa Maikona na North Horr wako...nami sikuchelewa...nikawaalika waje breakfast leo.
Asubuhi tukawatembeza kuwaonesha kiwanja, mifupa na kuwaeleza mambo ya TBI. Walionekana kama wamefurahia sana. Lakini tena, huwezi kujua, hawa watu hubadilika kirahisi.
Basi nikachukua number zao. Chachu amereccomend that kabla tuende mkutano, tuwaite macouncillors wa North Horr kando tuwaeleza kwa urefu mipango yetu (nasikia wako 14)...labda tuende chai na wao au kitu kama hicho...??
Inshallah mambo yatakuwa mazuri...ilobaki ni kujua date na time ya mkutano...nasikia inaweza kuwa 7th??
If it is the 7th, I was recommending tuingie Marsabit midday the day before (pamoja na Councillor Jennifer wa Illeret), tukutane na wale tuwezao wa North Horr....tulale, alafu siku ya pili tuende mkutano inshallah...hata mimi hapo nitafaidika na kukutana na majamaa wa Ministry of Health nikachukuwe immunizations na kadhalika.
Please let me know as soon as possible inshallah tupange ndege sasa.
Samia
--
Samia Omar
Program Coordinator
Turkana Basin Institute
Timau Plaza 7th floor
Argwings Kodhek Road
P.O. BOX 24467 - 00502
Nairobi, Kenya
Office Tel: +254 2(0) 3865120, 3865122
Field Tel: +88 216 4333 9517
Fax: +254 2 (0) 3865121
Website: www.turkanabasin.org/outreach
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
The future is not a place we are going to, but one we create…it is not a result of choices among alternative paths offered by the present, but a place that is created first in the mind by hope and will, and finally made into reality by our actions.

http://www.turkanabasin.org/community-outreach-blog
http://www.friendsoflaketurkana.org
http://www.uniqueco-designs.com/
http://www.ilhamkenya.org/
http://www.ikhlasfoundation.org/

| Comments |
|
Powered by !JoomlaComment 3.26